Hongera! Umeuona Mwaka 2023.
Jan 2, 2023
Salamu za mwaka mpya kutoka kwetu kuja Kwako ni kwamba mwaka huu uwe bora zaidi kwako, wa baraka na amani na yote unayoyatamani na kuyafanyia kazi yatimie. Uutazame mwaka ulioisha na kuchukua mema yake, kujifunza kwa mabaya yake na kutegemea yale yote mema mwaka huu, 2023!
Tunatumaini kipindi hichi utajazwa na furaha ambayo mwaka mpya unakuja nayo. Baraka tele!
Kutoka sisi wote wa Hamiahapa!